
The United Republic of Tanzania
ARUSHA TECHNICAL COLLEGE
Skills make the difference

Post Details
MAHAFALI YA 15 KWA MWAKA WA MASOMO 2022/2023
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) anawatangazia wahitimu, wanafunzi, watumishi, wadau na umma wote kuwa mahafali ya 15 ya Chuo cha Ufundi Arusha yatafanyika Jumatatu, tarehe 18 Desemba,2023 katika Kampasi Kuu. Majina ya wahitimu yanapatikana kwenye tovuti. Maelekezo zaidi yanapatikana pia kupitia Serikali ya wanafunzi (SOATECO). Aidha, wahitimu wote wanaombwa kuthibitisha ushiriki wao kwenye mahafali hayo kupitia anuani ya barua pepe rector@atc.ac.tz. Wahitimu wanaombwa kulipia Majoho kwa kiasi cha TZS 25,000/- kwa kutumia Control Number inayopatikana kwenye tovuti ya Chuo. Tafadhali, upatapo Taarifa hili mjulishe mwenzako. Imetolewa na Kitengo cha Mawasiliano na Masoko Chuo cha Ufundi Arusha
Other Announcements


List of Graduates 2023 (NTA Level 6)
Oct 27, 2023 | Download
List of Graduates 2023 (NTA Level 8)
Oct 27, 2023 | Download
