Professional Short Courses for 2022/2023 Academic Year Under ICT Department
Call for Applications Round II- Diploma Programmes
Call for Applications Round III
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA HUDUMA NA MAENDELEO YA JAMII
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii, Mhe. Stanslaus Nyongo (katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa kamati hiyo pamoja na menejimenti ya Chuo cha Ufundi Arusha alipotembelea chuoni hapo kukagua mradi wa ujenzi wa Jengo la Ufundi Tower unaokamilishwa na fedha za Uviko-19. Wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu (Sayansi) Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. James Mdoe na Wapili kushoto ni Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Musa N. Chacha.
Study with Us !
Call for Application Round II
INVITATION FOR ADMISSION INTO BACHELOR DEGREE PROGRAMMES OFFERED BY ATC FOR THE ACADEMIC YEAR 2022/2023
Arusha Technical College invites all qualified applicants to apply various Bachelor Degree Programmes offered by ATC. The deadline for Applicants 05.08.2022
ZIARA YA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA BAJETIA BUNGE
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Bajeti, Mhe. Daniel Sillo ( katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa kamati hiyo pamoja na menejimenti ya Chuo cha Ufundi Arusha alipotembelea chuoni hapo kukagua mradi wa ujenzi wa Jengo la Ufundi Tower unaokamilishwa na fedha za Uviko-19. Wapili kushoto ni Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Omary Kipanga (MB) na Wapili kulia ni Naibu Katibu Mkuu (Elimu) Prof. Carolyne Nomba
ATC NA RUWASA ZASAINI MKATABA
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dkt. Musa N. Chacha na Mkurugenzi Mkuu wa Wakala wa Maji na Usafi wa Mazingira Vijijini (RUWASA), Mhandisi Clement KIVEGALO wakionesha Mkataba wa makubaliano wa Utengenezaji wa Dira za Maji za Malipo ya kabla ya Matumizi baina ya ATC na RUWASA waliosaini leo 21 Juni, 2022, jijini Dodoma na kushuhudiwa na Waziri wa Maji Mhe. Juma Aweso na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Omary Juma Kipanga (Hayupo kwenye picha). Mkataba huu utakiwezesha Chuo cha Ufundi Arusha Kutengeneza Dira za Maji za Malipo ya Kabla ya Matumizi zipatazo mia moja ambazo zitatumiwa na RUWASA katika kuboresha Makusanyo na matumizi ya maji vijijini kwa kipindi cha miezi sita.
Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ufundi Tower
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza wakati alipoweka jiwe la msingi la jengo la Ufundi Tower katika Chuo cha Ufundi Arusha, Mei 24, 2022
Uwekaji wa Jiwe la Msingi Jengo la Ufundi Tower
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata maelezo kutoka kwa Mhandisi Saidi Issa ambaye ni Meneja wa Ktengo cha Uzalishaji, Chuo cha Ufundi Arusha kuhusu ujenzi wa Jengo la Ufundi Tower wakati Waziri Mkuu alipoweka jiwe la msingi la jengo hilo jijini Arusha, Mei 24, 2022.
KAMATI YA BUNGE YAIPONGEZA ATC UTEKELEZAJI MIRADI
Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii Mhe. Aloyce John Kamamba (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na wajumbe wa kamati hiyo pamoja na menejimenti ya Chuo cha Ufundi Arusha alipotembelea chuoni hapo kukagua miradi ya maendeleo.
KIKAO KAZI
Katibu Mkuu Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Prof Eliamani Sedoyeka (Katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa kikao kazi na Makamu Wakuu wa Vyuo Vikuu vya Umma na Taasisi zilizo chini ya Wizara zinazotoa Mafunzo ili kujadili mwelekeo wa bajeti ya 2022/23. Kikao kilifanyika katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) tahere 19, februari, 2022.
Prof. Mkenda ataka Vyuo vya Ufundi kuzalisha Wanafunzi watakao weza kuajiajiri au kuwajiriwa katika Soko la Ajira la ndani na nje ya nchi.
Ziara
Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Menejimenti ya Utumishi wa Umma Dkt. Laurean Ndumbaro (katikati waliokaa) akiwa kwenye picha ya pamoja na menejimenti ya Chuo cha Ufundi Arusha alipotembelea Chuo hicho kwa lengo la kusikiliza na kutatua kero mbalimbali za kiutumishi. Kulia kwake ni Mkuu wa chuo hicho Dkt. Musa Chacha na kulia kwake ni Naibu Mkuu wa Chuo Dkt. Florence Mamboya.
BACHELOR DEGREE IN RENEWABLE ENERGY ENGINEERING
Automotive Engineering Students in Practical Session
BACHELOR DEGREE IN MECHANICAL ENGINEERING
BACHELOR DEGREE IN MECHATRONICS AND MATERIAL ENGINEERING
Student Practical Work on Plumbing
Electrical Engineering
Electrical Engineering Students in the practical Session

Read the following Guideline to apply for internship

Download the guideline here

 

Use the following form to apply for internship

Download the form here