Wahitimu wote wanaombwa kuhakiki majina yao na taarifa nyingine muhimu kupitia tovuti ya Chuo. Kwa wale wenye marekebisho watume taarifa zao kwenye barua pepe yenye kichwa cha habari ‘UHAKIKI WA MAJINA YA WAHITIMU’ This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it. 

 

.

Mwisho wa kutuma marekebisho ni tarehe 4/11/2021. Upatapo tangazo hili mtaarifu na mwenzako.

 

 

Imetolewa na Afisa Uhusihano - Chuo Cha Ufundi Arusha

 

 

Majina ya Wahitimu:

 

 Bofya hapa  kuona wahitimu wa Level 4

Bofya hapa  kuona wahitimu wa Level 5

Bofya hapa  kuona wahitimu wa Level 6

Bofya hapa  kuona wahitimu wa Level 7

Bofya hapa  kuona wahitimu wa Level 8

 

NB: The passwords for the documents above have been shared to students via SOATECO.