Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dr. Musa N. Chacha anawatangazia Wahitimu wote wa Mwaka wa Masomo 2021/2022 kuwa Mahafali ya Kumi na Nne ya Chuo yatafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 08 Desemba, 2022 Kuanzia saa 3:00 asubuhi.

Wahitimu wote wanaombwa kuzingatia yafuatayo:

1)      Kuthibisha ushiriki wao kupitia Ofisi ya Msajili wa Wanafunzi kwa Simu au Barua pepe kabla ya tarehe 07 Desemba 2022.

2)     Kulipa gharama za majoho shilingili 25,000/-. Kwa kutumia ‘Control Number’ inapatika kwenye tovuti ya Chuo.

3)     Kuhudhuria Mazoezi ya Mahafali yaani, Rehearsal tarehe 07 Desemba, 2022 saa 8:00 Mchana

 

Kwa Maelezo zaidi Wahitimu wote wanaombwa  kuwasiliana nasi kwa njia zifuatazo:

 

 

Barua pepe:This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it., simu: 0734 4602000 au 0734 800 500

 

 

 NB:  Bofya hapa chini kuona Majina ya Wahitimu  NTA level 4 hadi NTA Level 8 .  Nywila ( Neno la siri ) kwa kila Level zinapatika kwa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi (SOATECO) Tafadhali fanya mawasiliano:

 

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 4.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 5.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 6.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 7.

Bofya hapa  kuona majina ya wahitimu NTA Level 8.

 

 

click here  to view the Advert. 

 

Arusha Technical College (ATC) wishes to announce names of applicants who have been successfully selected to join various Diploma Programmes for the Academic Year 2022/2023 (ROUND I). The selected applicants should report at the College for Orientation and Registration which is scheduled to start on 24/10/2022. Joining Instructions can be downloaded (click here to download) or website www.atc.ac.tz . with this information Window for application (Diploma Programmes) is open for round two until 3rd October,2022 as per NACTVET calendar. 

 

click here  to view names of selected candidates.  

 

 NB: Any Applicant  wish  to change his/her program you may get  in touch with admission Officer through  0734 60 20 000 0r 0734 80 05 00 ( call from 8:30 am - 3:30 pm Monday- Friday). Inform him/her about your intention to change or shift to another program. kindly do it from 29th September to 7th October, 2022.

 

 

 

 

 

click here  to view list of Professional Short Courses for the Academic year 2022/2023.  

Arusha Technical College (ATC) wishes to announce names of applicants who have been successfully selected to join various Degree Programmes for the Academic Year 2022/2023 (ROUND 2). The selected applicants should report at the College  for Orientation and Registration which is scheduled to start on 24/10/2022. However, selected applicants with Multiple Admissions should confirm their selection status through their Application Accounts using the Confirmation Code  by the Tanzania Commission for Universities (TCU). .Those who fail to confirm on time their chances will be given to the new applicants in round II. Joining Instructions can be downloaded (Click here to download)  or  from the College website www.atc.ac.tz . 

 

 

click here  to view names of selected candidates. For more information please  call us on 0734 60 20 000 0r 0734 80 05 00 ( call from 7:30 am - 3:30 pm Monday- Friday)