Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dr. Musa N. Chacha anawatangazia Wahitimu wote wa Mwaka wa Masomo 2021/2022 kuwa Mahafali ya Kumi na Nne ya Chuo yatafanyika siku ya Alhamisi, tarehe 08 Desemba, 2022 Kuanzia saa 3:00 asubuhi.
Wahitimu wote wanaombwa kuzingatia yafuatayo:
1) Kuthibisha ushiriki wao kupitia Ofisi ya Msajili wa Wanafunzi kwa Simu au Barua pepe kabla ya tarehe 07 Desemba 2022.
2) Kulipa gharama za majoho shilingili 25,000/-. Kwa kutumia ‘Control Number’ inapatika kwenye tovuti ya Chuo.
3) Kuhudhuria Mazoezi ya Mahafali yaani, Rehearsal tarehe 07 Desemba, 2022 saa 8:00 Mchana
Kwa Maelezo zaidi Wahitimu wote wanaombwa kuwasiliana nasi kwa njia zifuatazo:
Barua pepe:This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it., simu: 0734 4602000 au 0734 800 500
NB: Bofya hapa chini kuona Majina ya Wahitimu NTA level 4 hadi NTA Level 8 . Nywila ( Neno la siri ) kwa kila Level zinapatika kwa Viongozi wa Serikali ya Wanafunzi (SOATECO) Tafadhali fanya mawasiliano:
Bofya hapa kuona majina ya wahitimu NTA Level 4.
Bofya hapa kuona majina ya wahitimu NTA Level 5.
Bofya hapa kuona majina ya wahitimu NTA Level 6.
Bofya hapa kuona majina ya wahitimu NTA Level 7.
Bofya hapa kuona majina ya wahitimu NTA Level 8.