Use The Following Link Find The Tracer Study Report On The Employment Outcomes Of The Arusha Technical College Graduates
MAHAFALI YA 13 KWA MWAKA WA MASOMO 2020/2021
Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha anawatangazia wahitimu, wanafunzi, watumishi, wadau na watu wote kuwa mahafali ya 13 ya Chuo cha Ufundi Arusha yatafanyika tarehe 16/12/2021 katika kampasi kuu. Mahafali haya yatatanguliwa na sherehe ya kusanyiko (Convocation ceremony) itakayofanyika siku ya tarehe 15/12/2021.
Kufuatia tangazo hili, wahitimu wote wanaombwa kuhakiki taarifa zao muhimu kupitia tovuti ya Chuo. Kwa wale wenye marekebisho wanahimizwa kutuma taarifa zao kwenye barua pepe (This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.) yenye kichwa cha habari ‘UHAKIKI WA WA TAARIFA ZA WAHITIMU’ Mwisho wa kutuma marekebisho ni tarehe 4/11/2021.
Wahitimu wanaombwa kuthibitisha ushiriki wao kwenye mahafali hayo kupitia barua pepe. Aidha, wahitimu wanaombwa kulipia majoho kwa kiasi cha TZS 25,000/- kwa kutumia control number inayopatikana kwenye tovuti ya Chuo. Upatapo tangazo hili mtaarifu na mwenzako.
Mkuu wa Chuo anawatakia maandalizi mema.
Imetolewa na Msajili - Chuo cha Ufundi Arusha
Dkt. Baraka Kichonge
MSAJILI
Muhimu: Bofya hapa kusoma tangazo
Wahitimu wote wanaombwa kuhakiki majina yao na taarifa nyingine muhimu kupitia tovuti ya Chuo. Kwa wale wenye marekebisho watume taarifa zao kwenye barua pepe yenye kichwa cha habari ‘UHAKIKI WA MAJINA YA WAHITIMU’ This email address is being protected from spambots. You need JavaScript enabled to view it.
.
Mwisho wa kutuma marekebisho ni tarehe 4/11/2021. Upatapo tangazo hili mtaarifu na mwenzako.
Imetolewa na Afisa Uhusihano - Chuo Cha Ufundi Arusha
Majina ya Wahitimu:
Bofya hapa kuona wahitimu wa Level 4
Bofya hapa kuona wahitimu wa Level 5
Bofya hapa kuona wahitimu wa Level 6
Bofya hapa kuona wahitimu wa Level 7
Bofya hapa kuona wahitimu wa Level 8
NB: The passwords for the documents above have been shared to students via SOATECO.