PRESS RELEASE

 

 

 

Appointment of Dr. Musa N. Chacha as the Rector of Arusha Technical College (ATC)

 

Arusha, 1st April, 2022,

 

 

This is to inform the College Community and General Public that, the Minister for Education, Science and Technology Hon. Prof. Adolf Mkenda has appointed Dr. Musa N. Chacha to the position of the Rector of Arusha Technical College. The appointment is for five years with effective from 1st April 2022.

 

click here for more details   

Kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali (PAC) imefurahishwa na kukipongeza Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa kutumia mapato yake ya ndani kutekeleza miradi ya ujenzi hali ambayo itapunguza utegemezi mkubwa kwa serikali kwa siku za baadae.

 

Kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti wake mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb) imefanya ziara leo tarehe 17 machi, 2022 katika Chuo cha Ufundi Arusha na kukagua miradi ya ujenzi ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya, bweni la wasichana na jengo la madarasa na maabara..........

bofya kusoma zaidi   

Kamati ya kudumu ya bunge ya huduma na maendeleo ya jamii imekipongeza chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa utekelezaji mzuri wa miradi ya maendeleo chuoni hapo yenye lengo la kuboresha huduma kwa wanafunzi wa chuo hicho na jamii kwa ujumla.

 

bofya kusoma zaidi