Kamati ya kudumu ya bunge ya hesabu za serikali (PAC) imefurahishwa na kukipongeza Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa kutumia mapato yake ya ndani kutekeleza miradi ya ujenzi hali ambayo itapunguza utegemezi mkubwa kwa serikali kwa siku za baadae.

 

Kamati hiyo ikiongozwa na mwenyekiti wake mhe. Naghenjwa Kaboyoka (Mb) imefanya ziara leo tarehe 17 machi, 2022 katika Chuo cha Ufundi Arusha na kukagua miradi ya ujenzi ikiwemo ujenzi wa kituo cha afya, bweni la wasichana na jengo la madarasa na maabara..........

bofya kusoma zaidi