Kwa kusudi la kuboresha mazingira kwa wanafunzi wa Chuo cha Ufundi Arusha na kuongezaudahili wa wanafunzi wa kike, Chuo cha ufundi Arusha kinatarajia kujenga bweni la wasichana  ‘Girls Hostel’la ghorofa nne (multistorey building) ndani ya ‘campus’kuu ya Chuo. Mradi huu unatekelezwa kwa mwongozo wa‘FORCE ACCOUNT’kama ilivyoelekezwa na Serikali kuptia miongozo mbalimbali na kusimamiwa na kitengo cha kusimamia miradi cha Chuo cha Ufundi Arusha (ATC-Production and Consulting Bureau).

Hivyo Mkuu wa Chuo kwa kupitia kamati ya mradi wa Ujenzi-Chuo cha Ufundi Arusha anawatangazia wananchi wote wenye uwezo, sifa na uzoefu wa kufanya kazi tajwa hapo juu katika fani, sifa na masharti kama yaliyoahinishwa katika tangazo hili kuomba kazi katika fani zifuatazo:

 

bonya hapa   kusoma Tangazo.