Ziara Kampasi ya Kikuletwa
Naibu Katibu Mkuu, Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia, Prof. Carolyne Nomba (Katikati), akipokea maelezo mafupi kuhusu Mradi wa Kujenga Ujuzi kwa Maendeleo na Uingiliano wa Kikanda katika Afrika Mashariki (EASTRIP), unaotarajiwa kutekelezwa kwenye Kituo cha Nishati Jadidifu cha Kikuletwa hivi karibuni kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati ya utekelezaji wa Mradi, Dkt. Erick V. Mgaya. Kulia ni Mkuu wa Chuo, Dkt. Musa N. Chacha.