Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, ACP Koka Moita (Kulia) akionesha mfano wa kunawa kwenye mashine maalumu ( No- Touch Hand Wash Machine) aliyokabidhiwa kwa Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha na Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha (ATC), Dkt. Musa N. Chacha (Kushoto) ikiwa ni kuungana na Serikali katika mapambano dhidi ya kuenea kwa Virusi vya Corona- Covid 19. Mashine hii Maalumu imebuniwa na kutengenezwa na Chuo cha Ufundi Arusha
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Mhe. Prof. Joyce Ndalichako (kushoto) akiongozana na Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (katika) alipotembelea na kukagua Miradi ya Maendeleo katika Chuo cha Ufundi Arusha (ATC). Kulia ni Kaimu Mkuu wa Chuo cha Ufundi Arusha, Dkt. Musa N. Chacha
Mwenyekiti wa Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Huduma na Maendeleo ya Jamii Mhe. Peter Serukamba (aliyekaa katikati) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mawaziri wanaosimamia Elimu, wajumbe wa Kamati anayoisimamia, Menejinenti na Watumishi Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) wakati walipotembelea kukagua miradi ya elimu inayotekelezwa
Student Practical Work on Plumbing
Automotive Engineering Students in Practical Session
The Acting Rector of Arusha Technical College, Dr. Musa N. Chacha (Center) gives his opening remarks during the the ATC Workers' Council Annual meeting held on 21st February, 2020 at ATC Board Room. Others in the photo are Dr. Erick V. Mgaya (left), the Deputy Rector, Administration, Finance and Planning and Mr. Idd Chodas (right), the secretary to the Council.
Modern Machine for Practical Training at Mechanical Engineering workshop.
Deputy Minister for Education, Science and Technology, Hon. William Ole Nasha (MP) (left) together with Norwegian Ambassador to Tanzania, H.E Elisabeth Jacobsen (Center) during the inauguration of Kikuletwa Renewable Energy and Research Center held on 17th January, 2020. Other in the photo is the Hai District Commissioner, Hon. Lengai ole Sabaya.

TANZANIA HIGHER LEARNING INSTITUTIONS TRADE UNION – THTU, WAS REGISTERED UNDER SECTION 48 (5) OF EMPLOYMENT AND LABOUR RELATIONS ACT, No. 6 of 2004 AND ISSUED UNDER SECTION 43 (2) OF THE LABOUR INSTITUTIONS ACT, No. 7 of 2004 DATED 12TH DAY OF DECEMBER, 2008, AT DAR ES SALAAM.                                                                                                                                                                   
Rocky A. Sabigoro (Mwenyekiti THTU-ATC)                                                                                                                          John P. Gunda (Katibu THTU-ATC)

 


MADHUMUNI YA THTU

Dhumuni kuu la THTU ni kusimamia kwa vitendo ushirikishwaji wa wafanyakazi mahali pa kazi. Madhumuni mengine ni pamoja na;
 1.Kutetea maslahi ya wafanyakazi
 2.Kujenga mahusiano mazuri miongoni mwa wafanyakazi na Menejimenti ili kuleta tija


USHIRIKISHWAJI.
Kuna aina zifuatazo za ushirikishwaji wa Wafanyakazi Chuo cha Ufundi Arusha;

1.Baraza la Wafanyakazi (Workers Council).
 Hili linaundwa na Chama cha THTU na Menejimenti ya Chuo. Lengo kuu la Baraza hili ni Kupitia Bajeti, sera na Mipango ya Maendeleo ya Chuo na kuishauri  Menejimenti namna bora ya kutekeleza.          
   
Wajumbe wa Baraza la Wafanyakazi                                                    
Mkutano wa Baraza la Wafanyakazi

 

 

Kaimu MwenyeKiti THTU Taifa (Dr. Emelia Mgozigwa) Katika Mkutano na Wajumbe wa Halmashauri ya THTU-ATC.

 

2.Majadiliano ya pamoja na kufunga Mkataba wa Hali Bora (Collective Bargaining Agreements).
     THTU inawakilisha wafanyakazi wote katika majadiliano ya pamoja na Menejimenti katika masuala yote yanayohusu maslahi,mahusiano na maendeleo ya wafanyakazi na Taasisi kwa ujumla. Katika kutekeleza hili THTU imeandaa Mkataba wa hali bora za wafanyakazi ambao utatekelezwa baada ya kuridhiwa na Baraza na kusainiwa na THTU, Menejimenti na Msajili wa Hazina.


3.Mikutano ya Kikatiba ya Wanachama
  THTU ina mikutano ya wanachama ya kikatiba, yenye lengo la kushirikisha wafanyakazi kuzungumza na kutoa maoni, ushauri na mapendekezo ya kutekeleza uboreshaji wa maslahi, mazingira ya kazi na mahusino mazuri kazini.


4.Shere za Wafanyakazi Mei Mosi
    THTU kwa Kushirikiana na chama mwenza cha Wafanyakazi cha Researchers, Academicians and Allied Workers Union- RAAWU, Huandaa kwa ushirikiano maazimisho ya sherehe za wafanyakazi za Mei Mosi.                             
Wafanyakazi wa ATC wakifurahia kwa pamoja
Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani,
Mei Mosi 2017                                                                       Mmoja wa Wafanyakazi Hodari ATC 2017; PrayGod Lameck
                                                                                                           (Koti Jeusi), akifurahia Mei Mosi na Wafanyakazi wenzake

 


SHABAHA YA USHIRIKISHWAJI

 Shabaha za kimsingi za Ushirikishwaji ni kama ifuatavyo:-
  i. Kupunguza matumizi mabaya ya madaraka yanayotokana na utaratibu wa umilikaji wa njia kuu za uchumi.
  ii. Kujenga jamii isiyokuwa na matabaka na kumwezesha mfanyakazi kushiriki katika kutunga sera na mipango ya uchumi kitaifa
  iii. Kujenga jamii ambayo haina tabaka na kwamba umilikaji na uendeshaji wa njia kuu za uchumi ni wa pamoja.
  iv. Kuleta uhusiano na ushirikiano mwema mahali pa kazi kwa lengo la kuinua ufanisi wa kazi.
  v. Kudumisha demokrasia mahali pa kazi, viwandani, mashirika ambapo wafanyakazi wataweza kujadiliana pamoja.
  vi. Mambo muhimu katika demokrasia ni kama ifuatavyo
     • Uhuru na majadiliano.
     • Uhuru wa kufikia uamuzi
     • Utekelezaji wa pamoja wa maamuzi hayo (Binding to all).
     • Wafanyakazi wenyewe wataweza kuongeza juhudi na maarifa kazini, na pia watazidi moyo wa uvumbuzi, utundu, ubunifu katika utengenezaji wa vitu vipya.
  Viii. Wafanyakazi watakuwa tayari kukubali madaraka makubwa zaidi katika uendeshaji wa Taasisi.
  Ix Kupunguza migogoro mahali pa kazi.
  X Kuwawezesha wafanyakazi na Menejimenti kuwa na msimamo wa pamoja(mshikamamo) kuhusu masuala yanayohusu kazi na ustawi wa wafanyakazi.
  Xi Kuleta ufanisi na tija mahali pa kazi
  Xii Kuwawezesha kutumia vipaji vya wafanyakazi ipasavyo


Umuhimu wa Ushirikishwaji (Ushirikishwaji kupitia Agizo la Rais Na. 1 la 1970)
Kuwa na utawala bora mahali pa kazi kwa kutimiza misingi ifuatayo:-
   • Uwajibikaji
   • Uwazi
   • Utawala wa Sheria
   • Ushirikishwaji
   • Uwiano sawa
   • Mrejesho (haraka na chanya)
   • Ufanisi
   • Maafikano


Sheria zifuatazo zinaimarisha na zinalinda Dhana hii ya ushirikishwaji:-
   • Mkataba wa ILO wa Philadephia 1944
   • ILO convention No. 98 of 1948
   • Agiza la Rais Na. 1 la 1970
   • Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ibara ya 18 (Uhuru wa kutoa mawazo)
   • Sheria ya Majadiliano Katika Majadiliano Katika Utumishi wa Umma Na. 19 na Kanuni za 2005.
   • Sheria ya Utumishi wa Umma Na. 8 za 2002 na Kanuni za 2003.
   • Sheria ya Ajira na Mahusiano Kazini Na. 6 ya2004
   • Sheria ya Taasisi za Kazi Na. 7 ya 2004.
   • Mikataba ya kuunda baraza
   • ILO Recommendation No. 129 of 1967 (communications within undertaking).
   • Equal Remuneration convention No. 100 of 1951

Heads Of Administrative Sections

 


#

Dr. Baraka Nyangi Kichonge
(Students’ Affairs )

#

Mr.Kelvin Oigen Sanga
(Internal Audit )

#

Mr. Praygod Lameck Muro
(Human Resources )

Mr. Joseph Alexious Mwendwa
(Planning  )

#

Mr.Augustino Robert Shayo
(Procurement )

#

Mr. Gasto John Leseiyo
(Principal Public Relations Officer)

Mr. Mathias Dominick Safari
(Legal )

Mr. Sadati Abdallah Bushagama
(Estate )

Mr. Mzee Makumulo
(Library)

Dr. Godson Epafra Mushi
(Health Center )

Mr.Raymond Walter David
(Transportation Section )

 


CORPORATE SOCIAL RESPONSIBILITY

Upendo Trust Fund

The Fund was established voluntarily by the College staff in 2007, with the purpose of assisting needy staff and provides assistance to needy people outside the College. This is done through collecting donations aiming at solving one’s problems. The fund was inherited by the College following changes in operations and management occurred in 2009. This trust is mandated by the College to use the provided College perception of having a unit for provision of reasonable economical mutual assistance to needy staff members and those surrounding the College.

Improving Skills Training For Employment Program (ISTEP)

ISTEP is a five-year program funded by Global Affairs Canada. It builds on successes resulting from other EFE programs funded by Global Affairs Canada and managed by the Colleges and Institutes Canada in Tanzania, Mozambique and Senegal (2008-2013). ISTEP’s ultimate outcome is increased gainful employment, including self-employment, of graduates (m/f) from skills for employment programs. Among the benefits of the program to the College include development of the curricula for Pipe works, Oil and Gas Engineering program for NTA levels 4-6, technical skills assistance to staff, and equipments for running Pipe works oil and gas engineering program.

Consultative Stakeholders meeting for pre-technology ATC Instructor at attended short course training on program at ATC gas fitting at Camosun College