Pre-technology ni kozi ya muda mfupi inayoandaliwa na Chuo cha Ufundi Arusha (ATC) kwa kushirikiana na vyuo vya Sault na Parkland vya Canada kupitia mpango wa ISTEP chini ya Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia kupitia Baraza la Ufundi la Taifa (NACTE)

Lengo la mafunzo haya ni kuwawezesha wahitimu wa mafunzo ya VETA wenye NVA III kupata sifa stahiki za kuendelea na mafunzo kwa ngazi ya cheti yaani NTA Level 4 hadi Diploma yaani NTA Level 6 katika Chuo cha Ufundi Arusha baada ya kufaulu.

 

 

Bofya hapa kusoma zaidi.